Monday, 15 April 2019

Picha: Simba SC waifuata Coastal Union MkwakwaniKikosi cha Simba SC tayari kimeondoka  jijini Dar es Salaam kwenda jijini Tanga kwaajili ya mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Coastal Union.

Mchezo huo utakaopigwa siku ya Jumatano Aprili 17, 2019 kwenye Uwanja wa Mkwakwani. Utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kwenye ligi hiyo tangu kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments:

Post a comment