Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa kamati ya maaandalizi ya Maadhimisho
ya Sherehe ya Wafanyakazi za Mei Mosi walipokutana nao kukagua maandalizi hayo katika
Viwanja vya Sokoine Jijini Mbeya Aprili
29, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na kamati ya maaandalizi ya Maadhimisho
ya Sherehe ya Wafanyakazi za Mei Mosi walipokutana nao kukagua maandalizi hayo katika
Viwanja vya Sokoine Jijini Mbeya Aprili
29, 2019.
Rais wa Shirikisho la Vyama
vya Wafanyakazi (TUCTA) Bw. Tumaini Nyamhokya akichangia jambo wakati wa kikao
hicho.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Massawe akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mjumbe Kamati ya Utendaji
CWT Mwalimu Joyce Julius akichangia jambo katika kikao cha maandalizi ya
sherehe za Mei Mosi kilichofanyika katika Viwanja vya Sokoine Jijini Mbeya
aprili 29, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama akiangalia mazingira ya uwanja wa Sokoine utakaotumika kwa
ajili ya Maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi kitaifa Jijini Mbeya alipokutana na
kamati ya maandalizi ya sherehe hizo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama pamoja na wajumbe wa kamati wakiwa katika ukaguzi wa
maadalizi ya sherehe za Mei Mosi katika viwanja vya Sokoine Mkoani Mbeya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama pamoja na kamati hiyo wakiangalia mtaro unaopitisha maji
katika viwanja vya Sokoine ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kufikia Kilele cha
Sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) Jijini Mbeya.
Post A Comment: