Monday, 8 October 2018

BREAKING: AJALI YA BASI LA ARUSHA EXPRESS, WANNE WAFARIKI, 11 WAJERUHIWAWatu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya ajali iliyohusisha gari kampuni ya Arusha Express  ikitokea Arusha kuelekea Dodoma kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Haraa kata ya Bonga mjini Babati.

Jeshi la polisi mkoani Manyara limefika katika eneo la tukio kuokoa majeruhi kwa kuwapeleka katika vituo vya afya Bonga na hospitali ya mji wa Babati Mrara kwa matibabu.

Endelea kutufatilia tutakuletea Taarifa kamili
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: