Friday, 17 August 2018

Kambi ya Mbowe yazidi kuporomoka Diwani mwingine Achomoka


Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Lromu Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg. Shimiliya ufoo  ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga rasmi CCM asubuhi hii.

No comments:

Post a comment