Diwani Mwingine wa Chadema Kigoma Ajiunga na Ccm - MSUMBA NEWS BLOG

Friday, 17 August 2018

Diwani Mwingine wa Chadema Kigoma Ajiunga na Ccm

Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Katanga Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma  Ndg. Osca Kazihise Bulakuvye  ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga rasmi CCM asubuhi hii.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done