Friday, 13 July 2018

SHULE 10 ZILIZOFANYA VIZURI/VIBAYA KIDATO CHA SITA 2018

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde
Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu wakiwemo wasichana 30,619 sawa na 95.92% na wavulana 42,247 sawa na 95.23%. Waliopata daraja la kwanza ni 8,168.

Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi ni:

 1.Kibaha 2.Kisimiri 3.Kemebos 4.Mzumbe 5.Feza Boys 6.Marian Boys 7.Ahmes 8. St.Marys Mazinde Juu 9.Marian Girls 10.Feza Girls

Shule 10 zilizofanya vibaya zaidi ni:-

1.Forest Hill, 2.Jang’ombe, 3.Jangwani, 4. St. James Kilolo, 5.White Lake, 6.Aggrey, 7.Nyailigamba, 8.Musoma Utalii, 9.Ben Bella, 10.Golden Ridge

No comments:

Post a Comment