Thursday, 19 July 2018

DIWANI MWINGINE WA CHADEMA ATIMKIA CCM

Diwani wa Chadema Kata ya Nasai iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Ndugu Solomon O. Mmari ameamua kujiuzulu nafasi ya Udiwani na kuamua  kujiunga na Chama Cha Mapinduzi ili kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

No comments:

Post a Comment