chemba afanikisha Fei Toto kujiunga Yanga SC - MSUMBA NEWS BLOG

Monday, 23 July 2018

chemba afanikisha Fei Toto kujiunga Yanga SCUongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga.

Uamuzi wa Singida United unatokana na taarifa kuwa, Fei Toto amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga baada ya ruhusa aliyopewa na mlezi wa Singida United, Mwigulu Nchemba.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done