Saturday, 9 June 2018

Spika Ndugai Aosha Magari Katika Kuhamasisha Uchangiaji Wa Fedha Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Vyoo

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha magari tofauti tofauti wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji maalum. Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a Comment