Monday, 14 May 2018

RC Gambo kufanya msako wa mafuta ya kula na sukari


Baada ya Waziri Mkuu kuagiza wafanyabiashara wa mafuta ya kula pamoja na sukari kutokuficha bidhaa hizo, Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema watafanya msako kubaini waliokiuka agizo hilo.

“Natumia fursa hii kuwakumbusha wafanyabiashara kuwa agizo la Waziri mkuu litaisha tarehe 12 mwezi wa tano, tutafanya msako kwenye maghala yote na kwenye maduka yote” -RC Gambo

No comments:

Post a Comment