Sunday, 6 May 2018

BARCELONA KUWASILI NCHI HII AFRIKA KWA MAANDALIZI YA MSIMU UJAOMabingwa wa Ligi na Kombe la Mfalme nchini Spain, FC. Barcelona, wanatarajia kuwasili mapema mwenzi Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi.

Kikosi hicho chenye majina makubwa ikiwemo Lionel Messi na Luis Suarez kitatua Afrika kwa ajili matayarisho mapaya ya ligi kwa msimu wa 2018/19.

Barcelona watacheza na mabingwa wa Afrika Kusini msimu huu ambao ni Mamelodi Sowndowns kwenye Uwanja wa Soccer City, Mei 16 2018.

Ujio wa Barcelona nchini humo si wa kwanza kwani waliwahi kuja miaka kadhaa nyuma iliyopita kwa ajili ya PRE Season.

No comments:

Post a Comment