Tuesday, 17 April 2018

Rc Mgwira Aongoza mazishi ya Mapadri watatu

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira, Kamanda wa Polisi Hamis Issah na Mkuu wa wilaya Same Rosemery Senyamule jana waliongoza mazishi ya Mapadri watatu waliofariki katika matukio tofauti.
Mapadri Waliofariki ni Padri Ubaldus Kidavurialiyefariki akiwa Dar es salaam, huku Padri Arbogast Mndeme aliyefariki akiwa kwenye matibabu hospitali ya KCMC na Michael Kiraghenja ambaye alifariki akiwa katika mafungo ya kusali.
Mapadri hao walizikwa katika makaburi ya Mapadri wilayani Same.


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: