Rais Magufuli na Mkewe washuhudia kusimikwa Askofu Mkuu Arusha


RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamehudhuria kusimikwa kwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki la Arusha, Isaac Amani, katika parokia ya Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu jijini Arusha.

Misa hiyo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kanisa hilo.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: