Friday, 20 April 2018

Mtibwa yaichapa Stand, yatinga fainali

Kikosi cha Mtibwa Sugar kimefanikiwa kufuzu hatua ya fainali michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2 – 0 dhidi ya Stand United mchezo uliyopigwa dimba la Kambarage mkoani Shinyanga.

Aliyekuwa mwiba mkali kwenye mchezo huo ni mchezaji, Hassan Dilunga aliyeipatia timu yake ya Mtibwa mabao yote mawili katika dakika 30 na 39 ya kipindi cha kwanza.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: