Sunday, 8 April 2018

Msimamo wa Ligi kuu England baada yaMan u kuitandika Man city


KLABU ya Manchester United wakiwa ugenini wameitwanga timu ya Man City kwa jumla ya bao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya uingereza ulimalizika usiku huu.
Man City walianza mchezo kwa kasi ya ajabu na kuwapoteza kabisa Man U, jambo ambalo liliwafanya kumiliki mpira kwa kiwango kikubwa katika kipindi chote cha kwanza.
Man City ambao ni vinara wa Ligi hiyo ndiyo walikuwa wa kwanza kutikisa nyavu za United kunako dakika ya 25 kupitia kwa Vincent Kompany aliyemalizia mkwaju wa kona kwa kichwa chake.
Dakika 5 baadaye Ilkay Guendogan akaingia na kuiandikia Man City bao la pili ambalo lilidumu mpaka mwisho wa kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili Man U waliingia na moto wa kufa mtu huku wakiishambulia City kwa nguvu jitihada zilizozaa bao la kwanza kupitia kwa Paul Pogba kunako dakika ya 53.
Dakika mbili baadaye, Pogba alirudi tena nyavuni na kuandika bao la pili na la kusawadhisha kwa Man U kunako dakika ya 55 kabla ya Raheem Sterling kufunga bao la tatu na la kuongoza dakika ya 63.

MSIMAMO

 • TeamPGDPts
  1Manchester City326684
  2Manchester United323871
  3Liverpool334067
  4Tottenham Hotspur323767
  5Chelsea312356
  6Arsenal311751
  7Burnley32349
  8Leicester City32343
  9Everton33-1541
  10Newcastle United32-838
  11Bournemouth33-1238
  12Watford33-1737
  13Brighton and Hove Albion32-1435
  14West Ham United31-1833
  15Swansea City32-1932
  16Huddersfield Town33-2832
  17Crystal Palace33-1931
  18Southampton31-1828
  19Stoke City33-3327
  20West Bromwich Albion33-2621

No comments:

Post a comment