Thursday, 12 April 2018

MECHI ZA LIGI KUU BARA KWA UJUMLA LEO HIZI HAPA


Ukiachana na mechi ya Simba dhidi ya Mbeya City FC, michezo mingine mbili zinachezwa katika Ligi Kuu Bara jioni ya leo.

Ruvu Shooting watakuwa wanaikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Mabatini, mechi ikianza saa 10 kamili jioni.

Vilevile Mtibwa Sugar FC itakuwa inachuana na Ndanda FC kwenye Uwanja wa Manungu Complex, mechi ikianza saa 10 kamili pia.

No comments:

Post a comment