Mbunge ahoji maswali mazito bungeni ‘Serikali inatumia vigezo gani kuitambua BAKWATA?


Mbunge wa Konde (CUF), Khatib Said Haji ameihoji serikali kwanini iitambue BAKWATA kama ndio chombo kikuu cha Waislam Tanzania jambo ambalo halipo hata kwenye kitabu tukufu cha Quran. Mh. Konde ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: