Watu 7 wafariki katika mlipuko

Watu 7 wameripotiwa kufariki katika mlipuko uliotkea İdlib nchini Syria
Kiongozi wa ulinzi İdlibMustafa Haj Yusuf amefahamisha kuwa gari  lililokuwa na vilipuzi limelipuka karibu na hospitali mmoja Idlib na kusababşsha vifo vya watu 7 na kuwajeruhi wengine 25.

Majeruhi wa   tukio hilo wamepelekwa katika hospitali zilizokaribu na eneo la tukio. Mlipuko huo umesababisha pia uharibifu katika majengo yaliokaribu na eneo la tukio
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: