New Audio: Mwasiti ft Bill Nass – Bado


Msanii mkongwe wa muziki, Mwasiti Almas Jumatatu hii ameachia wimbo wake mpya ‘Bado’ akiwa amemshirikisha rapa Bill Nass. Wimbo huo umeandaliwa na producer Kimambo na umeandikwa na Marioo.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: