Saturday, 17 March 2018

Mnyama Simba SC atolewa kiume na Waarabu wa Misri

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoka sare ya 0 – 0 dhidi ya timu ya Al Masry katika mchezo uliyopigwa nchini Misri.
Simba SC imetolewa katika mashindano hayo baada ya kutoka sare ya mabao 2 – 2 jijini Dar es Salaam katika mchezo wake wa awali.
Picha za matukio ya uwanjani

No comments:

Post a comment