Tuesday, 27 March 2018

BREAKING NEWS: NONDO ANAZUNGUMZA MUDA HUU NA WAANDISHI

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, Abdul Nondo ameongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es Salaam, na kusema hawezi kuzungumzia barua ya kusimamishwa masomo kwa sababu kwanza, kiakili hayupo vizuri, pili, bado hajapewa barua rasmi kutoka chuo.

No comments:

Post a comment