Breaking News : Mlipuko watokea Mahakama ya Kisutu

Muonekano mahakama ya Kisutu baada ya kutokea mlipuko uliosababishwa na umeme.

Mahakama ya Kisutu imekumbwa na hitilafu ya umeme leo baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlipuko na sintofahamu mahakamani hapo.
Hitilafu hiyo ya umeme inadaiwa kutokea kwenye moja ya vyumba katika mahakama hiyo.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: