Bomu laua watu nane kwenye nchini Libya

Watu 8 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya gari lenye bomu kulipuka mashariki mwa Libya.

Kwa mujibu wa habari,mlipuko huo umetokea karibu namji wa Ajdabiya Mashariki mwa Libya.

Ripoti zimeoyesha kuwa mlipuko huo umesababisha vifo vya wanajesh, sita pamoja na raia wawili wa kawaida huku wengine wengi wakiwa wamejeruhiwa.

Mnamo Machi 9 mlipuko mwingine wa bomu ulijeruhi watu wa tatu katika  mji wa Ajdabiya.Kundi la DAESH lilitangaza kuhusika na mashambulizi hayo.

Libya imekuwa katika machafuko toka 2011 baada ya kifo cha raia wao Muammar Gaddafi.

Gaddafi aliiongoza Libya kwa muda wa miongo minne.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: