Thursday, 15 March 2018

Picha : Jery Muro Alivyokabidhi Mipira kwa Usharika wa Lyamungo


Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Jerry Muro leo amekabidhi Mipira kwa Mchungaji Israel Moshi wa Usharika wa Lyamungo Kilanya kata ya Machame Mashariki , Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro  kwa Ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kijijini kwao kwa ajili ya tamasha la Pasaka
 *#WakatiWetu* *#MachameNyumbani*

No comments:

Post a comment