Yanga yaipiga Majimaji FC 4-1

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamefanikiwa kuchomoza na ushindi mujarabu wa mabao 4 – 1 dhidi ya Majimaji FC mchezo uliyopigwa jijini Dar es salaam.

Waliyoisaidia Yanga SC kuchomoza na ushindi dhidi ya Majimaji ni kiungo raia wa Congo, Pappy Kabamba aliyefunga mawili, Obrey Chirwa na Emmanuel Martin huku lile la Majimaji likifungwa na Marcel.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: