Tuesday, 20 February 2018

Mkurugenzi wa LHRC alivyofika kutoa pole kwenye msiba wa Akwilina

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk.Helen Kijo-Bisimba  jana alifika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa.

Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: