Sunday, 4 February 2018

Dalili na Matibabu ya Ugonjwa wa Amoeba


Huu ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Entamoeba Histolytica ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu.

NJIA ZA KUPATA

kula matunda bila kuosha
kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni
kula chakula bila kuosha mikono
kunywa maji yasiyochemshwa


WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

Wasafiri
Mashoga
Wanafunzi
wafanya biashara sokoni
Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE

Tumbo kuuma kwa chini
kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi na wakati mwingine damu
kupungua uzito
homa

MATIBABU

Metronidazole, Tinidazole hizi ni ant biotics ambazo hutumika kuuwa hawa wadudu
Kuwekewa drips kama mtu ameharisha sana ili kuhakikisha anapata maji na madini aliyopoteza
Endapo Utapata dalili hizi ni vyema kufika hospitali ili ufanyiwe vipimo vya choo

16 comments:

 1. Am batreth Msumba ..I like ur post as well as ur name ... I don't know ur father's name but I like to have contact with you my relative...

  ReplyDelete
 2. maelezo haya ni msaada zuri sana kwangu

  ReplyDelete
 3. Maelezo yamekaa poa sana...
  Big up sana💪💪💪

  ReplyDelete
 4. Be blessed for such good explanation

  ReplyDelete
 5. Barikiwa saaana kwa iyo ikifikia hatua ya kuitoa ktk haja kubwa, itatibika kweli au unakua ushachelewa

  ReplyDelete
 6. Maelekezo mazuri sana shukran ubarikiwe

  ReplyDelete
 7. Mtoto wangu ana miaka 4 anasumbuliwa na amiba , nimempeleka hospital kapewa metro lakini bado analalamika sana tumbo.. naomba ushaur nifanyajena jen vyakula gani hatakiwi kula kwa kipindi hiki?

  ReplyDelete
 8. VIP kama mtoto anaumwa iyo amiba akipata matibabu itajirudia ukubwani

  ReplyDelete
 9. Ukichelewa matibabu vp inakuaje?

  ReplyDelete
 10. kuwashwa kwa ngozi je ni dalili moja wapo ya amoeba?

  ReplyDelete
 11. Dah mm inanisumbua Sana na nimetumia hizo dawa lakini bado

  ReplyDelete
 12. Je kuharisha hayo makamas pekeyake ni amoeba

  ReplyDelete