Kwa muda mrefu maisha yangu hayakuwa ya kawaida. Kila siku ilikuwa kama mapambano yasiyoisha. Usiku sikupata usingizi wa amani, na mchana nilihisi uchovu na mzigo mzito usioelezeka. Ilianza taratibu.

Nilianza kusikia hali ya hofu isiyo na sababu, ndoto za ajabu, na wakati mwingine nilikuwa naamka nikiwa na wasiwasi mkubwa bila kuelewa kinachoendelea. Kadri siku zilivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya. Nilijaribu kutafuta msaada kwa njia mbalimbali.

Niliwaeleza watu wa karibu, lakini wengi hawakuweza kuelewa kile nilichokuwa napitia. Wengine walidhani ni mawazo tu, lakini mimi nilijua kuna kitu hakiko sawa. Hali hiyo ilianza kuathiri maisha yangu yote. Nilipoteza furaha, nikajitenga na watu, na hata kufanya kazi ikawa changamoto kubwa kwangu.

Siku moja nilikutana na mtu aliyeniona nikiwa katika hali hiyo. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: