Jina langu ni Asha. Kupenda kwa dhati kisha ukawa unagawana mpenzi wako na mchepuko wa kila aina ni mateso yanayoweza kukuondolewa amani na furaha ya maisha.
Kwa muda mrefu, mimi na mpenzi wangu tulikuwa kwenye mahusiano, lakini tabia yake ya umalaya na tamaa za nje ilikuwa ikiniliza kila siku.
Kila nilipomfumania au kumuonya kuhusu tabia yake ya kutembea na wanawake wengine, alikuwa akiahidi kubadilika lakini baada ya siku chache alirudia pale pale.
Nilibaki nikiumia sana moyoni, nikikosa amani na kufikiria jinsi gani alivyokuwa akichukua pesa na pendo letu na kwenda kuwapa watu wa nje, huku mimi nikiambulia dharau na maumivu.
Nikiwa kwenye simanzi nzito na nikitafuta njia ya kuokoa pendo langu na kuzuia asitoke nje tena, rafiki yangu wa karibu alinitembelea.
Baada ya kumsimulia machozi na mateso niliyokuwa nakumbana nayo, alinieleza kwa huruma kuwa wapo wataalamu wa kiasili wanaoweza kumfunga mpenzi ili asione wala kutamani mtu mwingine yeyote zaidi yako. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: