Kufungua biashara na kuweka akiba zako zote za maisha kwenye mradi unaotarajia utakupa kipato endelevu ni ndoto ya kila mfanyabiashara.

Hata hivyo, pale unapoingiza mzigo mkubwa wa bidhaa kisha zikakaa meza na maghalani bila mtu yeyote kujitokeza kununua, maisha hugeuka kuwa chanzo cha msongo mkubwa wa mawazo na madeni yanayoongezeka kila siku.

Kwa zaidi ya mwaka mzima, nilipitia maumivu makubwa ya kifedha baada ya duka langu la bidhaa za vyakula na nguo kupoteza wateja kwa kasi ya ajabu.

Kila siku nilifungua duka mapema asubuhi na kukaa hadi usiku kucha bila kuuza hata bidhaa ya shilingi mia moja, huku bidhaa zinazoharibika haraka zikitupwa jalayani na nguo zikijaa vumbi.

Wakati huo huo, maduka ya majirani zangu yaliyokuwa na bidhaa za kawaida yalikuwa yakijaa wateja mfululizo.

​Nikiwa kwenye simanzi nzito na nikionekana kukata tamaa kabisa huku watoa mikopo wakishinikiza kuninyang’anya mali zangu, rafiki yangu mmoja aliyekuwa na biashara iliyofanikiwa alinitembelea.

Baada ya kushuhudia jinsi duka langu lilivyokuwa kama eneo lililotelekezwa, alinieleza ukweli unaowakumba wawekezaji wengi. SOMA ZAIDI.


Share To:

Post A Comment: