Kushuhudia mtoto wako wa pekee akiteseka bila kupata msaada ni jambo linaloweza kumvunja moyo mzazi yeyote. Kwa zaidi ya miaka miwili, binti yetu mwenye umri wa miaka kumi na mbili alipatwa na hali ya kutatanisha sana.

Alianza kulalamika maumivu makali ya kichwa na tumbo kila ilipofika jioni, na mwili wake ulipoteza nguvu kabisa hadi kushindwa kutembea au kwenda shuleni. Usiku uliingia akiwa anapiga makelele ya kutisha, akidai kuona watu waliovaa nguo nyeusi wakimnyonya damu na kumtishia maisha.

​Nilimtembeza kwenye hospitali kubwa na za kifahari nchini. Madaktari walifanya vipimo vya kila aina kuanzia vipimo vya damu, MRI, hadi Scan za kichwa lakini majibu yote yalikuja kuwa yuko salama na hana ugonjwa wowote wa kibinadamu!

Pamoja na majibu hayo, mtoto alizidi kukonda na kudhoofika siku hadi siku. Tilitumia akiba yetu yote kununua dawa za kutuliza maumivu ambazo hazikusaidia kitu.

Nilibaki nikilia usiku na mchana, nikitazama binti yangu akipotea mikononi mwangu huku tukiamini alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa nadra usio na tiba. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: