Naitwa Zaituni, mkazi wa jijini Arusha, maeneo ya mtaa wa Njiro. Maisha yangu ya ndoa yalifika mahali yakawa ni ya aibu na siri nzito ambayo ilikaribia kunivunjia heshima yangu mbele ya mume wangu na jamii inayotuzunguka.

Mume wangu ni mfanyabiashara mkubwa wa vito vya thamani kama Tanzanite, hivyo maisha yetu yalikuwa ni ya anasa, lakini ndani ya chumba chetu cha kulala, kulikuwa na “jangwa” la kutisha.

Kwa takriban miaka minne, nilipoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa na mwili wangu ukawa mkavu kiasi cha kutisha. Kila mume wangu alipojaribu kunigusa, nilihisi maumivu makali kama ninasuguliwa na msasa butu.

Katika hali ya kukata tamaa na kuogopa mume wangu asije kunitupa nje, nilianza kufanya kitendo cha hatari. Nilikuwa naiba mafuta ya kulainisha mashine (lubricants) kutoka kwenye gereji ya mume wangu na kuyaweka kwenye kopo la ‘lotion’ ili tu kumlainisha mume wangu wakati wa tendo. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: