Mimi naitwa Rehema, mkazi wa jijini Dar es Salaam, eneo la Sinza. Kwa miaka mingi, maisha yangu yalikuwa ni mzunguko wa maumivu na masikitiko.
Licha ya kuwa na kazi nzuri na mwonekano unaovutia, suala la ndoa lilikuwa kama ndoto ya mchana.
Kila mwanaume aliyekuja kwangu alikuwa akitafuta starehe tu na kisha kutokomea. Nilifikisha umri wa miaka 38 nikiwa bado nipo nyumbani kwa wazazi, huku mdogo wangu wa mwisho akishabeba mtoto wake wa pili.
Kila sherehe ya kifamilia ilikuwa ni kero kwangu; ndugu walikuwa wakinitazama kwa jicho la huruma lililochanganyika na dhihaka. “Rehema, mbona hutuletei wifi?” au “Umri unaenda, utazaa lini?” yalikuwa maswali ya kila siku.
Nilijaribu kila mbinu, kuanzia mitandao ya kijamii hadi kuomba marafiki waniunganishe na watu, lakini wapi! Nilianza kuamini kuwa labda nimezaliwa kuwa mpweke maisha yangu yote. Hofu ya kukosa watoto ilinitesa sana usiku, nilikuwa nalia hadi mto unaloa maji. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: