Hakuna jambo linaloweza kukutoa machozi na kukunyima amani ya nafsi kama kukabiliwa na shtaka la uongo ambalo hulijui wala kushingiliana nalo.
Kwa miezi mingi, maisha yangu yaliingia kwenye giza nene baada ya kushitakiwa mahakamani kwa kosa la dhuluma lililobuniwa na watu wenye chuki na husuda waliotaka kunipora ardhi na mali zangu.
Nilibaki nikihangaika kutoka chombo kimoja cha sheria hadi kingine, nikitumia pesa nyingi kuwalipa mawakili, lakini kila siku kesi ilivyoendelea, mambo yalianza kunielekea vibaya na kila kiashiria kilionyesha nilikuwa hatarini kufungwa jela miaka mingi.
Msongo wa mawazo ulitawala maisha yangu na familia yangu. Nilitazama mke na watoto wangu wakilia kila siku wakihofia hatima yao mara nitakapopelekwa gerezani.
Mashahidi wa uongo walipangwa kunikabili, na nyaraka za kughushi zilitengenezwa kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha napoteza haki yangu na kuozea jela.
Nilihisi kabisa kuwa mfumo mzima na maamuzi vilikuwa vimeharibiwa na nguvu za giza za maadui zangu waliotaka kunimaliza kabisa. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: