Kusoma kwa bidii, kupata shahada ya chuo kikuu, na kuwa na sifa zote za taaluma ni hatua kubwa ya kujenga maisha, lakini pale unapoingia kwenye usaili wa kazi (interview) zaidi ya mara kumi kisha unafeli kila mara, moyo hukata tamaa kabisa.

Kwa miaka mitatu baada ya kumaliza masomo yangu, nilikuwa nikisaka ajira bila mafanikio. Kila nilipotuma maombi ya kazi, niliingia kwenye orodha ya wasailiwa (shortlist), lakini kila nilipofika kwenye chumba cha usaili, mambo yote yalibadilika na kuwa meusi.

​Ingawa nilikuwa na uwezo mkubwa wa kujibu maswali na vyeti vyangu vilikuwa na ufaulu wa juu, jopo la wasaili lilinichukulia kwa dharau na kuonyesha kutonipenda kabisa bila sababu ya msingi.

Nilipitia usaili zaidi ya mara kumi kwenye makampuni na mashirika tofauti, lakini kila matokeo yalipotoka, jina langu halikuwepo.

Nilibaki nikitazama wenzangu waliokuwa na ufaulu mdogo wakipata kazi za mshahara mkubwa, huku mimi nikibaki mtaani nikichekwa, nikitegemea pesa za wazazi, na kupata msongo mkubwa wa mawazo.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: