Afya njema ndiyo msingi wa kila mafanikio na furaha maishani. Hata hivyo, kwa zaidi ya miaka mitatu, maisha yangu yaligeuka kuwa mfululizo wa maumivu makali yasiyovumilika.

Kila siku nilitawaliwa na maumivu makali ya miguu na mgongo yaliyokuwa yakinichoma kama sindano za moto au kuniunguza kwa ndani. Nilibaki siwezi kukaa kwa muda mrefu, siwezi kutembea umbali mfupi, wala siwezi kulala kwa amani kitandani.

​Tulitembea kwenye hospitali kubwa na za kisasa zaidi nchini. Nilifanyiwa vipimo vya kila aina kuanzia MRI, X-ray, hadi vipimo vya damu kwa madaktari bingwa wa mifupa na neva.

Hata hivyo, kila vipimo viliporudi, majibu yalikuwa yale yale ya kushangaza: vipimo vilionyesha kuwa mimi niko salama kabisa na sina tatizo lolote linaloweza kusababisha maumivu hayo! Nilipewa dawa kenda za kutuliza maumivu (painkillers), lakini hazikusaidia kitu zaidi ya kuniongezea kizunguzungu.

Akiba yangu yote ilisha kwa kulipa bili za hospitali, huku kazi na biashara zangu zikiwa zimesimama kabisa na kunifanya nionekane kama mtu aliyepooza na aliyetengwa na ulimwengu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: