Katika umri wa utu uzima, furaha kuu ya mzazi ni kushuhudia watoto uliowalea kwa shida na tabu wakikua kwa nidhamu, heshima, na kuwa nguzo ya familia.
Hata hivyo, pale mtoto wako wa kwanza ambaye ndiye tegemeo na mfano kwa wadogo zake anapogeuka ghafla, kuanza kukudharau, na kutumbukia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, amani ya nyumba hutoweka kabisa.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilipitia maumivu makubwa ya nafsi kutoka kwa mwanangu mkubwa aliyekuwa na umri wa miaka 24.
Kijana aliyekuwa na nidhamu ya hali ya juu na aliyefaulu masomo yake kwa kiwango kizuri, alianza kubadilika kwa kasi ya ajabu.
Alijiunga na makundi mabaya ya mtaani, akaanza kuvuta bangi na kutumia dawa kali za kulevya. Kila nilipojaribu kukaa naye na kumshauri kama mzazi, alinijibu kwa matusi makali, kunipazia sauti, na hata kutishia kunipiga.
Numba yetu iligeuka kuwa chumba cha mateso; alipoteza kazi yake, akaanza kuiba vitu vya nyumbani na kuuza ili apate fedha za kununulia dawa hizo.
Nilibaki nikilia usiku na mchana, nikiona maisha ya mwanangu yakisambaratika na heshima ya familia yetu ikipotea mbele ya jamii. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: