Kujenga familia na kuishi na mume unayempenda ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale hisia, uaminifu na heshima vinapotoweka ndani ya nyumba, ndoa inageuka kuwa uwanja wa mateso ya nafsi.
Baada ya kuishi na mume wangu kwa furaha na amani kwa miaka minne, ghafla mambo yalianza kubadilika kwa kasi ya ajabu. Mume wangu alibadilika tabia na kuanza kunichukulia kama mtu asiyekuwa na thamani yoyote mbele yake.
Nia na hamu yake kwangu zilitoweka kabisa. Hakuwa akitaka kunigusa, kunibusu, wala kukaa karibu na mimi kama zamani. Kibaya zaidi, fedha zote alizokuwa akipata kazini na kwenye biashara zake alianza kuzitumbukiza nje kwa wanawake wa pembeni.
Huku mimi na watoto tukibaki bila hata pesa ya chakula na matumizi ya msingi ya nyumbani. Kila nilipojaribu kusema naye kwa upole au kulia, alipandwa na hasira kali, kunipigia kelele na kusema simvutii tena.
Nilibaki na majuto na msongo. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: