Siku hiyo nilikuwa peke yangu nyumbani. Ilikuwa siku ya Jumamosi saa mbili usiku, nilikuwa nimekamilisha kazi za siku na nikajipumzisha kwenye kochi langu la sebuleni.
Kama ilivyo kawaida yangu, nikachukua simu yangu kupiga picha ya selfie kwa ajili ya kupakia kwenye WhatsApp status.
Nilitabasamu kidogo na kupiga picha moja tu, halafu nikaangalia matokeo yake kabla sijaiweka hadharani.
Nilitabasamu kidogo na kupiga picha moja tu, halafu nikaangalia matokeo yake kabla sijaiweka hadharani.
Ndipo nikaona jambo la kushangaza ambalo lilinifanya nitetemeke ghafla. Kwenye picha hiyo, nyuma yangu, kulionekana watu watatu wakiwa wamesimama karibu na mlango wa chumba cha kulala.
Wote walionekana ni marefu na walikuwa wamevaa mavazi meusi, lakini cha kutisha zaidi ni kwamba nyuso zao zilikuwa zimefunikwa kwa kitambaa cheusi kama mazishi.
Wote walionekana ni marefu na walikuwa wamevaa mavazi meusi, lakini cha kutisha zaidi ni kwamba nyuso zao zilikuwa zimefunikwa kwa kitambaa cheusi kama mazishi.
Hakukuwa na mtu mwingine nyumbani, milango yote ya chumba na nyumba ilikuwa imefungwa, na mimi mwenyewe nilikuwa nimehakikisha hilo kabla sijapiga selfie.
Moyo wangu ulianza kwenda mbio. Nilitetemeka mikono, nikahisi baridi kali ghafla licha ya kuwa ilikuwa jioni ya joto.
Moyo wangu ulianza kwenda mbio. Nilitetemeka mikono, nikahisi baridi kali ghafla licha ya kuwa ilikuwa jioni ya joto.
Niliinuka taratibu, nikawasha taa zote za nyumba, nikafungua mlango wa nje na kutoka nje kwa haraka. Nilikaa kwa muda mrefu nje nikiwa sijaelewa kilichokuwa kimetokea.SOMA ZAIDI.
Post A Comment: