Niliwahi kuamini kuwa ndoa yetu ilikuwa imejengwa juu ya misingi ya upendo wa kweli. Tulikutana tukiwa chuoni, tukapendana kwa dhati, na baada ya miaka miwili ya uhusiano, tuliamua kuoana. Harusi yetu ilikuwa ya kupendeza sana, tulipendeza mbele ya watu, na kila mtu alitupongeza.
Lakini ndani ya miezi sita tu baada ya harusi, maisha yangu yakabadilika ghafla. Mke wangu alianza kuwa mtu tofauti kabisa na yule niliyempenda.

Alianza kuwa mkali, mgumu kuelewana naye, na mara kwa mara alinituhumu kwa mambo ambayo hayakuwa ya kweli.
Mara nyingi alirudi nyumbani akiwa mlevi au aliingia chumbani akiwa mnyamavu kana kwamba hakutaka hata kuzungumza nami. Ilifikia hatua hata kula pamoja ilikuwa shida. Nilihisi kuna kitu kibaya, lakini sikuweza kukieleza.
Kilichonitatiza zaidi ni ndoto ambazo nilianza kupata nilikuwa naota moto, maiti, na mara nyingine nilimuona mke wangu akiwa na wanaume wengine.

Hali hiyo ilinizidi nguvu. Nilipojaribu kuzungumza naye kuhusu hali yetu, alikasirika na kusema sina imani naye.
Niliendelea kuvumilia kwa matumaini kuwa labda ni msimu mgumu tu wa maisha ya ndoa, lakini hali ilizidi kuwa mbaya.

Siku moja nilipokwenda kijijini kumtembelea babu yangu, nilikutana na mzee mmoja ambaye ni jirani yao. Baada ya kuzungumza naye kwa muda, aliniuliza maswali ya kushangaza kuhusu maisha yangu ya ndoa. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: