Mimi ni mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ndogo ya kandarasi. Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilikuwa nikitumia muda mwingi, nguvu, na kiasi kikubwa cha fedha kuandaa nyaraka za zabuni (tenders) mbalimbali za serikali na makampuni binafsi.

Kila mara nilipowasilisha maombi yangu, nilikuwa na matumaini makubwa kwa sababu kampuni yangu ilikuwa na vigezo vyote vilivyohitajika na gharama zetu zilikuwa na ushindani mzuri.

Lakini matokeo yalikuwa yale yale kila siku jina langu halikujitokeza hata mara moja. Kila maombi yalipokataliwa, nilijikuta nikipoteza mtaji na kuingia kwenye madeni makubwa.

Wafanyikazi wangu walizoea kukosa mishahara kwa wakati, na marafiki wengi wa kibiashara waliaza kunikimbia wakiamini kuwa sikuwa na nyota ya mafanikio au uwezo wa kusimamia miradi mikubwa. Msongo wa mawazo ulinikosesha amani ya moyo na usingizi usiku. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: