Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na ndoto kubwa ya kuwa mfanyabiashara maarufu. Nilikuwa nimechoka kuajiriwa na niliamini biashara ndiyo njia ya kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nilikopa shilingi milioni 20 kutoka benki ili kuanzisha biashara ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi.
Mwanzoni kila kitu kilionekana kwenda vizuri. Nilipata wateja wachache na niliamini mafanikio yalikuwa karibu. Lakini baada ya mwezi mmoja tu, matatizo yalianza.

Wateja wakubwa walishindwa kulipa madeni yao, bidhaa zikaanza kuharibika ghalani, na gharama za usafirishaji zikapanda ghafla. Kila nilipojaribu kusimama, tatizo jingine lilitokea.
Ndani ya miezi mitatu, mtaji wote ulikuwa umeisha. Nilibaki na deni kubwa la benki, simu za wadai kila siku na familia iliyokuwa imekata tamaa. Nilishindwa hata kulala usiku kwa mawazo. Nilifikiria kuuza nyumba niliyokuwa nimejenga ili kulipa sehemu ya deni.
Nilitembea kwa wataalamu wa biashara kutafuta ushauri. Wote walinielekeza namna ya kuboresha usimamizi wa fedha, lakini hata nilipofuata ushauri wao, mambo hayakubadilika. Nilianza kuamini kuwa kulikuwa na kizuizi kisichoonekana kilichokuwa kinaharibu kila nilichokifanya. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: