Sikuwahi kuelewa kwa nini maisha yangu yalikuwa na milima na mabonde. Nilikuwa nafanya juhudi nyingi kazini lakini hakuna kilichokuwa kinanyooka.
Mahusiano yangu yalivunjika bila sababu za msingi, na hata marafiki wangu walionekana kufanikiwa wakati mimi nilikuwa nikijikokota. Nilianza kujiuliza, “Kuna nini kisichoeleweka kwenye maisha yangu?”
Nilihisi kama kuna kitu kilikuwa kimenifunika kisirisiri. Siku moja nilihudhuria kikao cha wanawake mahali fulani Mbezi Beach, na baada ya mada ya kawaida kumalizika, mgeni mmoja alisimama na kuzungumza kuhusu nyota za kuzaliwa. Alieleza jinsi tarehe yako ya kuzaliwa inaweza kufichua tabia zako, mafanikio yako, changamoto zako, na hata majira sahihi ya kufanya maamuzi makubwa.
Kwa kawaida, mimi si mtu wa kuamini mambo ya nyota au nguvu za angani, lakini alipoanza kueleza kuhusu watu waliozaliwa mwezi wa Novemba kama mimi, nilishtuka. Alisema, “Watu wa mwezi wa Novemba mara nyingi wana ndoto kubwa lakini hujikuta wanakwamishwa na nguvu zisizoonekana endapo hawajatambua nyota yao vizuri.”
Hapo hapo moyo wangu ulidunda. Alieleza mengi ambayo yalikuwa kama anaelezea maisha yangu kama vile nimewahi kumweleza. Niliposikia hilo, niliamua kufanya utafiti zaidi. Nilianza kwa kujifunza kuhusu nyota yangu nilizaliwa tarehe 11 Novemba, na hiyo inaangukia kwenye nyota ya Scorpio.
Nilijifunza kwamba watu wa Scorpio ni wenye hisia kali, wanapenda mambo ya undani, na wanaweza kuwa na bahati kubwa endapo watajua jinsi ya kuitumia nguvu ya nyota yao. Nilianza kuandika tabia zangu, vitu ninavyopenda, na mambo yanayonikera. Ghafla, maisha yangu yalianza kupata sura mpya.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post A Comment: