Ndoa yangu iliononekana kuwa ya mfano wa kuigwa katika jamii. Mume wangu alikuwa mtu mwenye upendo, mkarimu, na aliyetujali sana mimi na watoto wetu. Hata hivyo, kwa miaka mitatu ya mwisho, nilianza kuhisi mabadiliko ya chini kwa chini.

Simu yake ilianza kuwekwa nenosiri (password) kali, safari za kikazi za ghafla zilipishana, na upendo wake kwangu ulianza kupoa. Kila nilipomuuliza, alinituhumu kwa kuwa na wivu usio na msingi. Niliumia moyoni na kukosa amani ya nafsi.

​Kilele cha sintofahamu hii kilikuja kudhihirika siku tuliyofanya sherehe kubwa ya kifamilia nyumbani kwetu, tukiwa tumewaalika ndugu, jamaa, na marafiki zetu wa karibu.

Katikati ya vicheko na furaha ya wageni wetu, siri nzito iliyokuwa imefichwa kwa miaka mitatu ililipuka kama bomu mbele ya kila mtu.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: