Kazini, kutengwa au kupuuzwa na bosi wako ni moja kati ya mambo yanayoweza kukatisha tamaa na kurudisha nyuma maendeleo yako. Kwa miezi mingi, nilikuwa nikifanya kazi kwenye kampuni moja kubwa, nikijituma kwa uwezo wangu wote.

Lakini bosi wangu alikuwa ananipita kama siioni; hakuwa hata anaitikia salamu zangu. Kila fursa ya kupandishwa cheo au kupata nafasi za kusimamia miradi mikubwa ilipojitokeza, alikuwa akiwapa watu wengine hata wale waliokuwa wageni na walio na uzoefu mdogo kuliko mimi.

​Nilibaki nikijihisi sina thamani, nikiwaza kuacha kazi kila siku. Nilibaini kuwa hata ningefanya kazi kwa bidii vipi, bila nyota yangu kung’aa na kupata kibali mbele ya viongozi, juhudi zangu zote zingepotea bure na ningebaki palepale. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: