Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na matumaini makubwa ya kufanikiwa. Nilijituma kila siku kuhakikisha wateja wanapata huduma nzuri na bidhaa bora.
Mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, lakini baada ya muda hali ilianza kubadilika. Washindani wapya waliingia sokoni.
Walikuwa na mitaji mikubwa, matangazo mengi, na ofa zilizovutia wateja. Polepole nilianza kuona idadi ya wateja wangu ikipungua. Mauzo yangu yakashuka mwezi baada ya mwezi.

Kwa kweli nilihuzunika sana. Kulikuwa na siku ambazo biashara yangu ilikaa karibu tupu huku maduka ya washindani wangu yakiwa yamejaa watu.
Kila jioni nilihesabu mauzo na kuona jinsi faida ilivyokuwa ikizidi kupungua. Miezi kadhaa ilipita katika hali hiyo. Watu wengi waliniambia biashara yangu isingeweza kushindana na zile zilizokuwa zimejijengea nguvu sokoni. Baadhi walinishauri nifunge biashara na kutafuta kazi nyingine.
Lakini sikuwa tayari kukata tamaa. Nilijua nilikuwa nimewekeza muda, nguvu, na fedha nyingi katika biashara hiyo. Nilihitaji njia ya kuirudisha kwenye mafanikio....SOMA ZAIDI.

Post A Comment: