Dada yangu alikuwa mtu wa karibu sana katika maisha yangu. Tulikulia pamoja, tukashirikiana katika kila hatua ya maisha, na tuliamini hakuna jambo ambalo lingeweza kututenganisha. Lakini baada ya kutokea mgogoro wa kifamilia, kila mmoja alichukua upande wake na mawasiliano yakakatika kabisa.

Mwaka mmoja ukawa miwili. Miaka miwili ikawa mitano, na kabla hatujagundua, miaka kumi ilikuwa imepita bila kuonana wala kuzungumza. Kila mmoja aliendelea na maisha yake kana kwamba mwenzake hakuwahi kuwepo. Nilikuwa nikimuona kwenye sherehe za kifamilia mara chache.

Lakini kila mmoja aliepuka mwenzake. Hakukuwa na salamu, hakukuwa na mazungumzo, na hali hiyo iliwaumiza hata wazazi wetu ambao walitamani kutuona tukipatana tena. Kadri miaka ilivyozidi kusonga, nilianza kuona pengo kubwa lililokuwa limejitokeza ndani ya familia yetu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: