Kwa miaka mingi nilikuwa nikisafiri mara kwa mara kutokana na kazi yangu. Ingawa nilipenda kusafiri, kila safari iliniingia hofu.
Nilikuwa nimeshuhudia ajali nyingi barabarani na mara kadhaa nilijikuta nikinusurika katika matukio yaliyoweza kunigharimu maisha. Hofu ilianza kutawala maisha yangu.
Kila nilipopanda gari, nilihisi wasiwasi. Familia yangu pia ilikuwa ikiishi kwa hofu kila nilipowaaga kwenda safari za mbali. Nilitamani kupata amani ya moyo ili niweze kufanya kazi zangu bila kuishi kwa hofu kila siku. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: