Kwa muda mrefu, nilikuwa nikishangaa ni kwa nini biashara yangu ilikuwa inazidi kudorora. Mwanzoni nilidhani ni changamoto za kawaida za biashara. 

Wateja walikuwa wanapungua taratibu, mauzo yalikuwa yanashuka, na faida haikuwa kama ilivyokuwa zamani.

Lakini kulikuwa na jambo la ajabu. Licha ya kuboresha huduma zangu na kuhakikisha wateja wanaridhika, hali iliendelea kuwa mbaya. Watu ambao walikuwa wateja wangu wa muda mrefu walianza kuondoka mmoja baada ya mwingine.

Kwa kweli nilichanganyikiwa. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba sikuwa najua tatizo lilikuwa nini. Nilikesha mara nyingi nikitafakari ni wapi nilikuwa nimekosea, lakini sikuweza kupata jibu.

Kadri miezi ilivyopita, hasara iliongezeka. Kulikuwa na wakati nilifikiria kufunga biashara kabisa. Nilihisi kama kila juhudi niliyokuwa nikifanya hazikuwa na matokeo yoyote. SOMA ZAIDI.


Share To:

Post A Comment: