Nilikuwa nimeanzisha duka langu kwa juhudi nyingi sana. Nilijinyima mambo mengi ili nipate mtaji, nikajituma kuhakikisha biashara inakua.
Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri wateja walikuwa wanakuja, mauzo yalikuwa yanaongezeka, na nilikuwa na matumaini makubwa. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.
Nilianza kugundua pesa hazilingani. Kila nilipofanya hesabu za mwisho wa siku, kulikuwa na upungufu ambao sikuuelewa. Mwanzoni nilidhani labda ni makosa ya kawaida ya biashara. Lakini kadri wiki zilivyopita, hasara ilianza kuongezeka kwa namna iliyonipa hofu kubwa.
Kwa kweli nilichanganyikiwa. Niliongeza umakini kwenye stock na mauzo, lakini bado mambo hayakuwa yanaeleweka. Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara niliyokuwa nimeijenga kwa shida ikianza kudorora mbele ya macho yangu.
Kulikuwa na usiku nilikosa usingizi. Nilianza kujiuliza kama nilikuwa nafanya kitu vibaya au kama kulikuwa na mtu aliyekuwa anaharibu biashara yangu kwa siri. Wakati mwingine nilifikiria hata kufunga duka kabla sijapoteza kila kitu. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: